GILI HIGH SCHOOL
Usaili kwa ajili ya kidato cha tano 2024/2025 umeanza na unaendelea.
HAKUNA “INTERVIEW” Mwanafunzi awe amepata “Division I or II“
FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA;
- Gili high school – Kibaha, Mailimoja
- Msimbazi center chumba no.09
- Kwenye tovuti hii kwa kubonyeza >> Download Form
VIGEZO VYA KUPATA NAFASI;
- Awe Msichana (Jinsia ya Kike)
- Awe Amefaulu kwa daraja la kwanza au la Pili (Division I au II) kwenye matokeo yake ya kidato cha nne
- Awe amehitimu Elimu ya kidato cha nne mwaka 2023
GILI SECONDARY SCHOOL
Usaili kwa kidato cha kwanza 2024 bado unaendelea kwa nafasi chache zilizobaki.
UTARATIBU;- Kwa mwanafunzi Kupata nafasi ya kujiunga na Gili Secondary School (kidato cha I – IV) inamlazimu afanye mtihani wetu wa Usahili (interview) na kuchaguliwa.
MUDA/SIKU;- Usaili/interview zinafanyika shuleni Gili Secondary School- Kibaha, Mailmoja siku zote za kazi kuanzia asubui saa mbili.
GARAMA YA USAILI/INTERVIEW: Kwa wanaojiunga na kidato cha kwanza ni Tsh 20,000/= Kwa wanafunzi wanaohamia ni Tsh 30,000/=
MAHITAJI: Mwanafunzi aje na picha (Passport size) tatu.
Kufahamu mchanganuo wa ada na mahitaji mengine bonyeza hapa kupata fomu yenye maelezo.
GILI PRE & PRIMARY SCHOOL
Wanafunzi wanaojinga na Baby class hawafanyiwi usaili/interview
wanafunzi wanaojiunga/wanaohamia kuanzia Pre-Unit, Grade 1-7 wanafanyiwa usaili ili wapate nafasi ya kujiunga nasi.
MUDA/SIKU;- Usaili/interview zinafanyika shuleni Gili Pre & Primary School- Kibaha, Mailmoja siku zote za kazi kuanzia asubui saa mbili.
GARAMA YA USAILI/INTERVIEW: Gharama ya interview ni Tsh 20,000/=
MAHITAJI: Mwanafunzi aje na picha (Passport size) tatu.
Kufahamu mchanganua wa ada na mahitaji mengine Bonyeza hapa kupata fomu yenye maelezo