Primary School

Baada ya mafanikio makubwa ya ufaulu, Gili Secondary sasa tunawaletea shule nzuri na bora ya awali na msingi ya kuitwa (ENGLISH MEDIUM) JANUARY

TUNA NAFASI ZA SHULE YA AWALI (PRE UNIT 1 AND PRE UNIT 2) NA SHULE YA MSINGI DARASA LA KWANZA HADI LA TANO (STD 1 AND STD 5)

JINSI YA KUJIUNGA Usajili wa watoto unafanyika shuleni kila siku Jumatatu hadi Ijumaa saa mbili asubuhi, kuchukua fomu na gharama za fomu ni Sh 20,000/= kwa pre one mpaka darasa la tano na Sh 10,000/= kwa baby class.

Karibu

Fomu zinatolewa shuleni na kwenye tovuti yetu: www.gilischools.co.tz

USAFIRI UPO tunapokea watoto kuanzia miaka miwili na nusu wanaoweza kuongea.

Tembelea shule yetu ya Secondary

2023 FORM ONE ENTRACE RESULT.