Events

Latest Past Events

NAFASI ZA KIDATO CHA TANO 2023

Friends of the School

Kidato cha tano wataanza pre-form five kuanzia tarehe 18/03/2023. hakutakuwa na garama ya ziada. Garama ya Mafunzo kwa Pre-form Five ni sehemu ya ada ya kidato cha Tano